Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kongwa anatangaza nafasi za kazi kupitia kibali cha ajira mbadala cha tarehe 14 Juni 2021, kwa watanzania wote wenye sifa na ujuzi wa kujaza nafasi katika fani ya Katibu Mahsusi Daraja la III na nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II. Ili kuona tangazo tafadhali bofya hapa>>>>>>TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.