Thursday 21st, February 2019
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
Tarehe 26/10/2018 kuanzia saa 04:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri, utafanyika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa.
Mwananchi mpenda maendeleo unaombwa kufika siku hiyo katika Mkutano huu ili uweze kusikia taarifa za masuala mbalimbali yanayotekelezwa na Halmashauri yako.
Kama kutakuwa na badiliko la ratiba mtajulishwa.
Upatapo ujumbe huu mwambie na mwenzako.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Kongwa
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2320537
Simu ya Mkononi:
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. Haki zote zimehifadhiwa.