Halmashauri inasajili vikundi kwa mujibu wa sheria kupitia idara yake ya Maendeleo ya Jamii. Ili kuwezesha kupatikana kwa vikundi vizuri na endelevu, Idara ya Maendeleo ya Jamii hutoa semina, ushauri na mikopo ya fedha kwa vikundi.
Hivyo, wananchi wenye lengo la kuunda kikundi ni vema wakawasilisha barua kupitia anuani ya barua pepe hii maendeleoyajamii@kongwadc.go.tz au S.L.P. 57 KONGWA.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.