• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • OSBC

Kumilikishwa Kiwanja

Hatua za kufuata ili kumilikishwa kiwanja na Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa:-

  1. Mteja atatakiwa kufika Halmashauri Ofisi ya Miliki za Ardhi ili kupatiwa bili ya Fomu ya Maombi ya Kiwanja (Ada ya Maombi).
  2. Baada ya Kupewa bili toka katika Mfumo wa Mapato ya Ndani (LGRCIS), Mteja ataenda benki kulipia kiasi cha shilingi 20,000/= kama ada ya maombi ya kiwanja (Akaunti ya Revenue Scheme Revenue Collection A/C NO. 50301000002 NMB).
  3. Mteja akishalipa Ada ya Maombi ya Kiwanja, anatakiwa kueleza aina ya kiwanja anachokitaka ni cha matumizi gani (makazi, makazi/biashara au taasisi) na anataka cha ukubwa wa kiasi gani (ujazo wa chini, wa kati au ujazo wa juu).
  4. Baada ya kutoa maelezo mteja atapatiwa gharama halisi za kiwanja kulingana na matumizi sanjari na gharama ya kutengeneza hati.
  5. Mteja akiwa tayari kulipa gharama za kiwanja anachokihitaji atatolewa bili ya malipo ya kiwanja kwenye Mfumo wa kielektroniki.
  6. Baada ya bili kutolewa atapatiwa mchanganuo wa ulipaji – sababu malipo haya yamegawanyika katika makundi miwili; Serikali Kuu na Halmashauri.
  7. Baada ya hapo mteja anaandaliwa hati na kuendelea na taratibu zingine za kiofisi katika Ofisi ya Kamishna Kanda ya Kati, Dodoma.
  8. Hati itatoka baada ya muda wa siku tisini (90) kukamilika – miezi mitatu (3), hii ni kwa mujibu wa sheria ya ardhi. 

ZINGATIO:-

Hati ikishakamilika, hati hupokelewa na mteja katika Ofisi ya Msajili Kanda ya Kati Dodoma.  

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2018. January 24, 2019
  • Tangazo la Nafasi ya Kazi January 16, 2019
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2019 Mkoa wa Dodoma Shule za Kutwa December 20, 2018
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2019 Mkoa wa Dodoma Shule za Bweni December 20, 2018
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • Wakulima Wahimizwa Kupambana na Viwavi

    January 31, 2019
  • Kongwa Yasaini Tamko la Kuhakikisha Kaya Zote Zinakuwa na Vyoo Bora Nakuvitumia

    December 07, 2018
  • Kampeni ya Usichukulie Poa Nyumba Ni Choo Kuanza Wilayani Kongwa

    November 29, 2018
  • Benki ya NBC Yatoa Msaada wa Viti 80 na Kompyuta 15 kwa Halmashauri ya Kongwa

    November 14, 2018
  • Tazama Yote

Video

Usafi wa Mazingira ni Wajibu wa Kila Mtu.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)
  • Bunge la Tanzania

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Kongwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2320537

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. Haki zote zimehifadhiwa.