• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • OSBC

Kongwa Yasaini Tamko la Kuhakikisha Kaya Zote Zinakuwa na Vyoo Bora Nakuvitumia

Imewekwa: December 7th, 2018

Wananchin wa Wilaya ya Kongwa wanapaswa kuzingatia mambo ya msingi hususani matumizi ya vyoo bora ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza na mlipuko kwa ajili ya kujenga Tanzania ya Viwanda pasipokuwa na adui mkubwa wa maradhi.

Haya yamesemwa na Mhamasishaji wa Kitaifa wa "Usichukulie poa, Nyumba ni Choo" Mjomba Mrisho Mpoto katika kampeni ambayo imefanyika Kongwa katika maeneo ya Kata ya Sejeli na Kongwa Mjini.

Aidha, Mkataba wa makubaliano wa "Tamko la Kuhakikisha Kaya zote katika Wilaya ya Kongwa zinakuwa na vyoo bora na kuvitumia" umesainiwa. Mkataba huo umeitaka Wilaya ya Kongwa kufikia tarehe 25 Desemba, 2018 kila kaya iwe na choo bora na kukitumia na umeagiza viongozi wote wanaohusika katika kila ngazi  ya wilaya, tarafa, kata, vijiji au mitaa na vitongoji kusimamia kikamilifu agizo hili.

Pia, Tamko linaitaka taarifa ziwe zinatolewa kila wiki, na hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakayekiuka agizo hilo kwakuwa anahatarisha afya na uhai wake na wa watu wengine.

Tamko hili limesainiwa na Katibu Tawala wa Wilaya Ndugu Audiphace C. Mushi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya na Ndugu Hamisi Y. Sombwe kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kongwa.

Wananchi wote tubadilike, " UCHUKULIE POA, NYUMBA NI CHOO"





Matangazo

  • Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021 December 17, 2020
  • Tangazo la Nafasi ya Kazi November 18, 2020
  • Mabadiliko ya Mawasiliano ya Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya October 23, 2020
  • Kuitwa Kwenye Usahili November 13, 2020
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • Spika Ndugai akabidhiwa Hati ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa

    October 30, 2020
  • Kituo cha Afya Ugogoni Chaanza Kutoa Huduma za Upasuaji

    August 12, 2020
  • DC Kongwa Awataka Viongozi Kuacha Kuchochea Migogoro

    August 12, 2020
  • Rais Magufuli Aongea na Wananchi wa Kongwa

    July 18, 2019
  • Tazama Yote

Video

MHE. JOB Y NDUGAI AIBUKA KIDEDEA KWA MARA NYINGINE TENA | BILA KUPINGWA | CCM | KONGWA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)
  • Bunge la Tanzania

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 737 798 222

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2020 Kongwa District Council . All rights reserved.