Imewekwa: January 7th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Sitaki Senyamule amewataka wananchi kudumisha amani kwa kushiriki katika masuala ya ulinzi na usalama wao.
Mhe. Senyamule amesema ukosefu wa amani unarudisha ny...
Imewekwa: January 1st, 2023
Tatizo la utoro shuleni limetajwa kuwa sehemu ya vikwazo kwa jitihada za walimu za kuwapatia stadi na maarifa wanafunzi katika maeneo mbalimbali Nchini.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mku...
Imewekwa: December 20th, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel amewaonya wananchi wanaonunua mahindi yanayouzwa na Serikali kwa bei nafuu kwa lengo la kuyauza Kwa bei ya juu kama...