Imewekwa: July 2nd, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Imetenga jumla ya Ekari 500 kwa ajili ya uwekezaji wa Viwanda.
Eneo hilo limetengwa katika kata ya Pandambili baada ya kuidhinishwa na...
Imewekwa: June 2nd, 2022
Na Stephen Jackson
Baraza Maalumu la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa limepitisha sheria ndogo zitakazo tumika kudhibiti Sumu kuvu katika mazao ya Kilimo Wilayani hapa.
Mkutano huo wa baraza ulif...
Imewekwa: May 8th, 2022
Na Stephen Jackson
KONGWA.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka amewataka wazazi wenye wanafunzi waliopo kwenye madarasa ya mitihani ya Taifa, kuwapunguzia kazi za nyumbani ili kuwapa m...