Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary A. Nkullo anawatangazia wananchi wote kurejeshwa kwa Mnada wa Matongoro uliokuwa umesitishwa.
Mnada Utafunguliwa tarehe 05/03/2023 na utakuwa ukifanyika kila ifikapo tarehe tano ya kila Mwezi.
Mnada huu ulisitishwa kufuatia changamoto mbalimbali ambazo kwa sasa Halmashauri imezipatia ufumbuzi ikiwemo soko la Uhakika la mifugo.
Wananchi wote Mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.