Afisa Elimu Sekondari (W) Kongwa anapenda kuwakaribisha wazazi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaigwa kupakua fomu ya Maelekezo ya kujiunga.
Kwa Maoni, Maulizo, Mapendekezo na kadhalika, Wasiliana na Mkuu wa Shule kwa Namba za simu 0768806393. Ili Kupakua fomu, Tafadhali bofya hapa>>>>>MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI WASICHANA KIBAIGWA-KONGWA DODOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023 20220516_16174862_01.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.