Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya kongwa anayo furaha kuwatangazia waombaji wote waliofaulu usaili uliofanyika tarehe 14/03/2022 na kupata nafasi za ajira ya muda ya ukusanyaji wa taarifa za anwani za makazi na postikodi kuwa, wanatakiwa kufika siku ya ijumaa ya tarehe 18/03/2022 ofisi za halmashauri muda wa saa 2:00 asubuhi kwaajili ya kupata maelekezo juu ya mafunzo elekezi. Kuona Tangazo tafadhali bonyeza hapa>>>>>>>>>KUITWA KAZINI ANWANI ZA MAKAZI KONGWA.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.