Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia wadau wote wa Halmashauri ya Kongwa kuwa mawasiliano ya namba za simu na nukushi (fax) yamebadilika. Hivyo, kwa sasa mawasiliano yafuatayo yatumike katika kuwasilian na Ofisi yake;
Simu: +255 26 2370031
Nukushi: +255 26 2370031
E-mail: ded@kongwadc.go.tz
Tovuti: www.kongwadc.go.tz
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.