Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kongwa anawatangazia watu wote waliopata nafasi za kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Mbunge na Madiwani Jimbo la Kongwa kuwa mafunzo yatafanyika Kuanzia tarehe 24 Oktoba 2020 hadi tarehe 26 Oktoba 2020 katika Vituo vinne. Fungua nyaraka hapa chini kuona orodha ya majina ya waliochaguliwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.