Mkurugenzi Mtendaji (W) Dkt. Omary A. Nkullo anapenda kuwatangazia Wananchi Wote kuwa Halmashauri imepokea jumla ya Shilingi 4,601,097,248.44. Kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kutoka Serikali kuu na Wadau wa Maendeleo. Ili kuona taarifa hii tafadhali Bofya hapa======>UMMA.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.