Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, anawatangazia wale wote walioomba kazi kwa nafasi za Katibu Mahsusi na Msaidizi wa Kumbukumbu, kuwa Usaili utafanyika tarehe 16 na 17 Agosti 2021. Kuona Tangazo lenye orodha ya Majina Bofya hapa====>KUITWA KWENYE USAILI -KONGWA DC.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.