Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, anapenda kuwatangazia majina Wasailiwa wa nafasi za Afisa Mtendaji Kijiji - III waliochaguliwa kushiriki usaili wa Mahijiano kuwa usaili utafanyika Kwa siku tatu kuanzia tarehe 02 Septemba, 2022.
Kuona Tangazo tafadhali bonyeza hapa======>USAILI MAHOJIANO.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.