Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kongwa anapenda kuwajulisha kuwa, zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata zote za Halmashauri ya Kongwa linaanza hivi karibuni. Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Vituoni, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators. Hivyo, anakaribisha maombi kwaWatanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo; angalia kiamba hiki TANGAZO
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.