Sunday 22nd, December 2024
@VETA KONGWA
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary Nkullo, anawatangazia wananchi wa Wilaya ya Kongwa kushiriki Maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara ambayo kiwilaya yatafanyika Ukumbi wa VETA KONGWA.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.