Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kongwa
Baraza la Biashara la Wilaya ya Kongwa linafanya mkutano siku ya Jumatano tarehe 27 Juni, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Wajumbe wa baraza hilo na wageni waalikwa mbalimbali wanakaribishwa katika mkutano huu.
Kumbuka kupata taarifa zihusuzo maendeleo ya Biashara katika Wilaya yako ni haki yako.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.