Tuesday 21st, January 2025
@Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Baraza la Biashara la Wilaya ya Kongwa linafanya Mkutano Maalum siku ya Alhamisi tarehe 13 Septemba, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Wajumbe wa Baraza hilo na wageni waalikwa kutoka Taasisi za Biashara na Mashirika ya Umma mbalimbali wamealikwa katika Baraza hili maalum kujadili changamoto za fursa za uwekezaji katika Wilaya ya Kongwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.