Saturday 21st, December 2024
@UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA
Tarehe 28/02/2020 kuanzia saa 04:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri, utafanyika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kujadili Mpango wa Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
Mwananchi mpenda maendeleo unaombwa kufika siku hiyo katika Mkutano huu ili uweze kusikia taarifa za masuala mbalimbali yanayotekelezwa na yatarajiwayo kutekelezwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa Halmashauri yako.
Upatapo ujumbe huu mwambie na mwenzako.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.