Wednesday 8th, January 2025
@Halmashauri ya Kongwa
CCBRT itatembelea Wilaya ya Kongwa kwa kipindi cha wiki mbili kuanzia tarehe 19 hadi 31 Machi, 2018 kutoa elimu ya FISTULA ikiwa na ujumbe "FISTULA Inatibika".
Aidha, CCBRT kupitia mpango wa kuzuia fistula, imekusudia kutibu wanawake wote wenye fistula Tanzania.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.