Sunday 22nd, December 2024
@Chitego, Sejeli na Mtatani
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa kushirikiana na Kampuni ya Royal Agric CO. Ltd inatarajia kuanza kutoa chanjo ya Homa ya Mapafu kwa ng'ombe (CBPP).
Zoezi hili la utoaji chanjo linafanyika kuanzia Jumatatu ya terehe 21 Mei, 2018.
Utoaji wa chanjo utaanza kwa kata tatu (3) ambazo ni Chitego, Sejeli na Mtanana na baadaye kuendelea katika maeneo ya kata zingine zilizobaki.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.