Tuesday 21st, January 2025
@Kibaigwa
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Prof. Ibrahim Hamis Juma anatarajia kuzindua Mahakama ya Mji wa Kibaigwa tarehe 7 Oktoba 2021. Aidha, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mhe Job Y. Ndugai naye atakuwepo katika uzinduzi huu.
Wote mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.