Tuesday 21st, January 2025
@Wilayani Manyoni
Timu ya wanamichezo watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa watakuwa na ziara ya michezo Wilayani Manyoni, Mkoani Singida siku ya Jumamosi tarehe 28/08/2021.
Kwa mtumishi yeyote anayehitaji kushiriki awasiliane na Mhasibu Pricsa Mjezwa kwa kutuma majina yake na mchango wa fedha TZS 18,000/= kabla ya tarehe 27/08/2021 kwa maandalizi ya safari na mahali pa kulala.
Mechi za kirafiki kwa michezo ya mpira wa miguu, mpira wa pete na mpira wa wavu itafanyika kati ya timu za Halmashauri ya Kongwa na Halmashauri ya Manyoni.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.