Thursday 31st, October 2024
@Chamkoroma na Iduo
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Ndg. Dr. Suleiman Serera anatarajia kufanya ziara katika Kata za Chamkoroma na Iduo siku ya Alhamisi tarehe 15 OKtoba, 2020. Katika ziara hiyo atasikiliza na kutatua kero za wananchi, pamoja na atakagua miradi ya maendeleo. Aidha, katika ziara hii atambatana na Wakuu wa Taasisi mbalimbali katia Wilaya ya Kongwa.
Ziara hii itaanza na Kata ya Chamkoroma saa 4:00 Asubuhi na Kata ya Iduo saa 8:00 Mchana.
Wananchi wote katika kata hizo mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.