Saturday 21st, December 2024
@Makao Makuu ya Wilaya ya Kongwa
Mhe Dkt Festo John Dugange (Mb) Naibu Waziri - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anatarjiwa kuwasilisha Wilayani Kongwa kwa ziara ya siku moja. Anatarajiwa kusomewa taarifa za miradi ya afya, asilimia 10, miradi ya kimkakati na utekelezaji wa programu za fedha za UVIKO19.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.