Sunday 22nd, December 2024
@Kongwa
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew atafanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Siku ya Jumatatu tarehe 26 Julai 2021 kwa lengo la kufanya ukaguzi wa Miradi na huduma za Mawasiliano kuhusu ubora na upatikanaji wake.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.