Sunday 22nd, December 2024
@Wilaya ya Kongwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kasimu Majaliwa anatarajia kuendelea na ziara katika Mkoa wa Dodoma ambapo atatembelea wilaya zote ambazo hakizitembelea baada ya tukio la ajali mbaya ya MV Nyerere.
Kwa Wilaya ya Kongwa anatarajia kufanya ziara yake tarehe 11 Oktoba, 2018 ambapo atapokea taarifa ya Wilaya,kutembelea mradi wa Machinjio ya Kuku Mbande, Kukagua barabara ya Mbande - Kongwa, kuongea na Watumishi wa Taasisi za Serikali, kukagua ujenzi wa mradi wa maji Kongwa Mjini, kutembelea kiwanda cha Kongwa Mills Product kilichopo eneo la Kibaigwa na kufanya mkutano wa hadhara Kibaigwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.