Halmashauri inatoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi kupitia; Hospitali ya Wilaya, Vituo vya Afya, na Zahanati.
Mikakati mbalimbali imeweka ili kuhakikisha kwamba vifaa tiba vya kutosha vinanunuliwa, dawa zinapatikana wakati wote katika vituo vya huduma, watumishi wanapatikana na kusambazwa katika vituo vyote vya huduma na magari ya kubebea wagonjwa yanakuwa katika hali nzuri na kuwepo katika vituo vya kutolea huduma, mikakati ambayo itapelekea utolewaji wa huduma bora kwa wananchi walipo ndani na nje ya Wilaya ya Kongwa.