• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

Kituo cha Biashara

KITUO CHA BIASHARA KONGWA (OSBC) ni ofisi ambapo huduma mbalimbali za usajili wa biashara zinatolewa. Wateja wanaweza kupata mahitaji yao yote ya kibiashara kwa kituo kimoja tu. Kituo hiki kimejengwa mwaka 2015 kwa ufadhili wa Mradi wa Uboreshaji Mazingira ya Biashara (LIC) na shughuli zake rasmi mwaka 2016.

Lengo kuu la Kituo hiki (OSBC) ni kuwarahisishia wateja (wajasiriamali/wafanyabiashara) upataji wa huduma za kusajiri, kulipia na kupata leseni za biashara katika kituo kimoja, badala ya kuendesha au kutembea maeneo mbalimbali ya huduma hizo katika makao makuu ya wilaya na nje ya wilaya.

MKAKATI WA KITUO

Tuchukua muda wetu kukusikiliza wewe mteja na kutoa maelekezo au ushauri mbalimbali kuhusu njia mbadala za biashara halisia. Katika Kituo cha Biashara Kongwa tutakupa muongozo wa hatua kwa hatua katika kusajiri biashara yako, namna ya kulipa kodi pamoja na masuala mengine ya kibiashara. Aidha, tunajadiliana nawe kuhusu;

  •  Kwa nini umechagua kuanzisha hiyo biashara?
  • Itakugharimu kiasi gani kuanzisha kampuni ndani ya Kongwa?
  • Ni aina ipi ya biashara unalenga kuanzisha?
  • Ni mipango ipi uliyonayo kuhakikisha kwamba biashara yako itakua kwa baadaye?

MAENEO YA UWEKEZAJI

Kuwa na mahali pa kuendesha na kufanyia maamuzi ya biashara ni muhimu sana hususani unapoanzisha biashara yako.

Hii ndiyo sababu Kituo cha Biashara kimekuja, hivyo, tutakupatia maelekezo kuhusu maeneo ya uwekezaji yaliyopo Wilayani Kongwa kulingana na umuhimu wake.

Kituo cha Biashara Kongwa (OSBC) kinajibidiisha katika kuwezesha kuanzisha na kuendesha biashara ndani ya Wilaya ya Kongwa.

HUDUMA ZITOLEWAZO
Kituo cha Biashara Kongwa (Kongwa OSBC) kinaendeleza, kinasimamia na kukuunganisha na Halmashauri, Serikali pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali ndani ya Kongwa kwa ajili yako. Kituo kinatoa huduma mbalimbali ikihusisha:

  • Kuhuisha Leseni ya Biashara na Utawala
  • Kukuunganisha na Mfumo wa Usajili wa kampuni (BRELA) na Utawala
  • Usajili wa Namba ya Utambulisho ya Mlipakodi (TIN)
  • Huduma za ukalimani Kiingereza kwenda Kiswahili (Kiswahili kwenda Kiingereza)
  • Pia tunatoa huduma za ziada ambazo zina manufaa kwa Halmashauri na Serikali ya Tanzania kama vile Anuani, na Muhuri wa Halmashauri, n.k.

USHAURI WA KIUONGOZI
Timu ya Kituo cha Biashara Kongwa inafanyakazi kwa ukaribu na wateja katika kutatua changamoto mbalimbali na masuala ya kimkakati. Tunatoa utatuzi wa nguvu na wa kipekee kusaidia kampuni na wafanyabiashara kutatua changamoto za ukuaji wa biashara zao kwa mafanikio. Huduma zetu zimepangiliwa kwa kila mteja binafsi.
Mgawanyo wa kazi wa Kituo umegawanyika katika kumsaidia wateja kwa kutoa huduma zifuatazo:

  • Ushauri wa kibiashara;
  • Taarifa za mabadiliko ya mara kwa mara ya hatua za kufuata au miongozo ya Serikali/Halmashauri;
  • Bill za huduma mbalimbali, kodi/tozo;
  • Risiti za Halmashauri kuhusu malipo yalipwayo kwa Halmashauri
  • Masuala ya Afya na Mazingira;
  • Masuala ya Ardhi;
  • Huduma za Kibenki (NMB);
  • Huduma za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
  • Huduma za mtandao wa internet kwa wateja wanaohitaji taarifa kuhusu masuala ya uwekezaji Kongwa.

Kwa kushirikiana na Kituo cha Biashara Kongwa utafurahia njia za ubunifu wetu pamoja na ukalimu wa timu yetu katika kutoa huduma za  kimalengo na kanuni za kiutendaji zenye ufanisi kusaidia kupata mahitaji yako ya biashara/uwekezaji.

JUKUMU LETU KWAKO
Tunatoa huduma za kitaalam, kiufanisi na rafiki zilizobuniwa na kupangiliwa kwa mahitaji ya wateja. Kila mteja wetu anapangiwa Afisa atakeyekuwapo na kuhusika kumsaidia, kujibu swali lolote na kumshauri mteja pamoja na kumjuza namna ya kufuata maelekezo yaliyotolewa.

<<Soma zaidi >>

Matangazo

  • Majina ya mipaka ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. October 16, 2024
  • TANGAZO LA MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 16, 2024
  • Tangazo la nafasi za ajira za mkataba October 07, 2024
  • Tangazo la kufunguliwa kwa dirisha la utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu- Oktoba 1 2024 October 02, 2024
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYASISITIZWA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA VIONGOZI PAMOJA NA WATAALAM

    May 05, 2025
  • VIKUNDI 21 VYAKABIDHIWA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YA HALMASHAURI

    April 28, 2025
  • DC MAYEKA AKABIDHI MISAADA

    April 27, 2025
  • ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE. WASIRA WILAYANI KONGWA.

    April 25, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.