• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

DC KONGWA ATEMBELEA ENEO LA MAEGESHO YA MALORI KIBAIGWA

Imewekwa: November 19th, 2025

DC KONGWA ATEMBELEA ENEO LA MAEGESHO YA MAGARI KIBAIGWA 

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari – Kongwa DC

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka Simon Mayeka ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa eneo la maegesho ya magari lililopo mamlaka ya mji mdogo Kibaigwa na kuongea na wafanyabiashara wa eneo hilo.

Mhe. Mayeka amefanya ziara hiyo Novemba 19 kufuatia malalamiko ya wafanyabiashara katika eneo la Kibaigwa kupinga magari yasiegeshwe katika eneo jipya la maegesho yanayojengwa kwa kisingizio cha kukosa wateja katika biashara zao ambazo awali zilikuwa zinanufaishwa na abiria wa magari hayo yaliyokuwa yakiegeshwa katikati ya mji kwenye maeneo yasiyo rasmi.

Nae Diwani wa Kata ya Kibaigwa Mhe. Daudi Kweka amefafanua kuwa licha ya wananchi hao kulalamikia maegesho hayo lakini wameomba kupunguzwa kwa vigingi vilivyojengwa pembezoni mwa barabara kwani vimekuwa vikihatarisha maisha ya waendesha pikipiki na waendesha baskeli.

Akiongea mbele ya Mhe. Mkuu wa Wilaya, Mhandisi Elisony Edward Mweladzi wakala wa barabara Tanzania TANROADS Mkoa wa Dodoma amesema kuwa wafanyabiashara hao walifikisha malalamiko yao kwa uongozi wa Serikali ya Kata ya Kibaigwa wakitaka maegesho ya magari yasihame kutoka yalipokuwa yakiegeshwa awali.

Akijibu hoja hizo mbele ya wafanyabiashara hao Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka amesema ujenzi wa maegesho hayo ni muhimu ili kuondoa adha wanayopata Wananchi kutokana na msongamano wa magari makubwa katikati ya mji hivyo wafanyabiashara wasiangalie maslahi yao binafsi waangalie na watumiaji wengine wa barabara.

Aidha katika hatua hiyo Mhe. Mayeka amemuagiza Mhandisi wa TANROADS Mkoa wa Dodoma kupunguza vigingi vya pembezoni mwa barabara kwa kuzingatia usalama wa wananchi na kulinda miundombinu ya barabara hiyo kwani lengo la Serikali ni kuondoa msongamano na si kukwamisha biashara za wananchi hivyo ni vyema wananchi wakafuata utaratibu uliowekwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • WAFANYAKAZI WILAYA YA KONGWA WAMSHUKURU MHE. RAIS SAMIA ONGEZEKO LA MISHAHARA

    January 21, 2026
  • SERIKALI YATOA MWONGOZO KWA WATUMISHI WANAOJITOLEA

    January 20, 2026
  • JWTZ KUCHANGIA MIL. 200 UJENZI SHULE YA SEKONDARI WILAYANI KONGWA

    January 14, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto