• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

DC. MAYEKA "USALAMA KATIKA WILAYA YA KONGWA NI JUKUMU LA KILA MMOJA"

Imewekwa: November 5th, 2025

DC. MAYEKA “USALAMA KATIKA WILAYA YA KONGWA NI JUKUMU LA KILA MMOJA”

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari kongwa DC

Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji pamoja na Watendaji wa Kata na Vijiji wamekumbushwa kuwa jukumu la usalama wa wananchi katika Wilaya ya Kongwa ni la kila mmoja katika eneo analofanyia kazi. Hayo yamesema leo na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa na Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka S. Mayeka katika kikao kilichokutanisha viongozi wa serikali za Mitaa pamoja na VEO’S na WEO’S na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya.

DC Mayeka amewaasa viongozi kuwa makini kuwatambua wageni kutoka nchi Jirani ambao wamekuwa wakiingia katika nchi ya Tanzania bila vibali na kujichanganya na wazawa na wengi wao wamekuwa wakifanya uhalifu hivyo viongozi wa Serikali za Mitaa wawe makini kutambua kila mkazi anayeishi eneo husika na wageni wanaolala katika nyumba za wageni.


Aidha DC Mayeka ameshauri kuwa mgambo wahusishwe katika vikao vya usalama katika vijiji maana wamepatiwa mafunzo ambayo yanawapa uwezo wa kutambua viashiria vya uhalifu na wana mafunzo ya njia za kuanza kutatua changamoto hizo jambo ambalo litamaliza changamoto za vitendo vya kiuhalifu.

Mambo mengine yaliyoongelewa kwenye kikao ni pamoja na swala la uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti holela unaofanyika katika maeneo mbalimbali ya Wilaya pamoja na wizi wa mifugo na mazao na viongozi wameaswa wasiwaonee haya wahalifu na watoe taarifa zenye ukweli na Ushahidi ili wahalifu wote washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

Akifunga kikao hicho, DC Mayeka amewaasa Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji pamoja na Watendaji wa Kata na Vijiji kuvunja makundi yaliyokuwepo katika kipindi cha uchaguzi na kampeni na kuhakikisha kuwa kila kiongozi anafanya kazi kwa kushirikiana na mwingine bila kujali itikadi ya chama ili kusudi wananchi wa Kongwa wapate maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • DC. MAYEKA "USALAMA KATIKA WILAYA YA KONGWA NI JUKUMU LA KILA MMOJA"

    November 05, 2025
  • NDG. MNGURUMI ISAYA MOSES ASHINDA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA KONGWA

    October 30, 2025
  • DC KONGWA AZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI NGAZI YA WILAYA

    October 24, 2025
  • KONGWA YATOA ZAIDI YA MILIONI 216 MIKOPO 10% AWAMU YA KWANZA 2025/2026

    October 23, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor