Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amekabidhi taa 390 kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kongwa kwa ajili ya watumishi wa Kada ya Afya katika hospitali ya Wilaya na vituo vya Afya pamoja na zahanati zote kwa dhumuni la kutambua mchango wao wakati wa utoaji wa huduma kwa wananchi.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.