• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

DED KONGWA "USIMAMIZI WA MIRADI NI MUHIMU KWA UREJESHWAJI WA MIKOPO 10%

Imewekwa: January 2nd, 2026

DED KONGWA “USIMAMIZI WA MIRADI NI MUHIMU KWA UREJESHWAJI WA MIKOPO 10%”

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari Kongwa DC

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary Nkullo ametoa msisitizo kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kongwa kuongeza kasi ya ufuatiliaji na usimamizi wa miradi inayofanywa na wanavikundi waliopatiwa mikopo ya fedha za 10% ya wanawake vijana na watu wenye ulemavu ili kuwa na urejeshwaji mzuri wa fedha hizo. 

 

Dkt. Nkullo ameyasema hayo januari 8 2026 alipokuwa katika kikao cha robo ya pili cha divisheni ya maendeleo ya jamii cha kujadili taarifa mbalimbali zikiwemo za ufatiliaji na tathmini na mikopo chechefu ambapo ameeleza kuwa kuna haja ya divisheni kutafuta mtaalam wa masuala ya usimamizi wa miradi ili kuwanoa maafisa hao ili waweze kuwa na uelewa wa kufatilia vizuri miradi inayofanywa na wanavikundi na kuleta tija kwa wanavikundi na Halmashauri.

“taarifa za wanavikundi bado hazijitoshelezi, watembeleeni mara kwa mara na mtoe taarifa kila mwezi mjue hali za miradi yao makazi yao ya kudumu au kama wamehama mjue changamoto zao pia msipike tu taarifa wafatilieni” alisema Dkt. Nkullo.

Licha ya kukemea suala la rushwa wakati wa kupitisha vikundi vinavyotakiwa kukopeshwa lakini pia Dkt. Nkullo amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuwa na lunga rafiki na kupeleka tabasamu kwa wananchi kwa kuwapokea na kuwahudumia vizuri wakati wote.

Akiongea katika kikao hicho Mkuu wa Diviheni ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kongwa Bi. Paskalina Duwe amesema kuna changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo katika kusimamia miradi ikiwemo wanavikundi wengi kujitegemea katika uendeshaji wa shughuli zao bila kuwa na wataalam husika kwa ajili ya kuwashauri mfano Maafisa Ugani na Biashara hivyo divisheni imeandaa kikao cha pamoja na wataalam mbalimbali ili kuwashirikisha suala hilo.

“suala la mikopo linagusa watu wengi Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Mhe. Rais pia hivyo sisi Maafisa Maendeleo ya Jamii tumepewa jukumu kuhakikisha fedha hizi zinatumiwa kama ilivyopangwa wananchi wananufaika na Halmashauri yetu ifanye vizuri katika utoaji na urejeshwaji wa fedha hizi za 10%.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Lenjulu Bw. Michael Emmanuel amesema kuwa suala la usafiri ni changamoto inayokwamisha kazi ya ufatiliaji wa vikundi hususani kwa Kata zilizopo pembezoni kama Lenjulu Chitego Chiwe na Zoissa hivyo wanaomba wapatiwe pikipiki.

Aidha bw. Emmanuel amefafanua kuwa changamoto ya kuweka akiba kwa vikundi ni kutokana na umbali kutoka Kata au Vijiji walivyopo kwenda benki, licha ya baadhi ya vikundi kuweka akiba kupitia kwa mawakala wa benki waliopo karibu na maeneo yao na baadhi yao kukopeshana ili kuzitunza na kuzalisha.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • WAFANYAKAZI WILAYA YA KONGWA WAMSHUKURU MHE. RAIS SAMIA ONGEZEKO LA MISHAHARA

    January 21, 2026
  • SERIKALI YATOA MWONGOZO KWA WATUMISHI WANAOJITOLEA

    January 20, 2026
  • JWTZ KUCHANGIA MIL. 200 UJENZI SHULE YA SEKONDARI WILAYANI KONGWA

    January 14, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto