• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

JAMII YATAKIWA KUSHIRIKI KUTANGAZA KWA KUTUMIA BIDHAA ZINAZOZALISHWA VETA.

Imewekwa: November 21st, 2025

JAMII YATAKIWA KUSHIRIKI KUTANGAZA KWA KUTUMIA BIDHAA ZINAZOZALISHWA VETA

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari – Kongwa DC

Wananchi wametakiwa kushiriki katika kutangaza kwa kutumia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wanafunzi wa chuo cha ufundi stadi VETA kwa kuzitumia ili waweza kuwaunga mkono na kuthamini mafunzo hayo.

Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Ndg. Fortunatus Mabula alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya tatu ya wahitimu 80 wa ngazi ya pili katika fani mbalimbali katika chuo cha ufundi stadi VETA Kongwa ambapo ameeleza kuwa chuo hicho kipo kwa ajili ya kusaidia jamii moja kwa moja hivyo jamii itumie bidhaa kama matofari, huduma ya matengenezo ya magari na ushonaji nguo zinazozalishwa na wanafunzi hao ili kuwaunga mkono.

Katika mahafali hayo Mgeni Rasmi alipata wasaa wa kutembelea karakana za ushonaji, magari, umeme na kiwanda cha kufyatua matofali ambapo alisistiza uongozi wa chuo cha VETA Kongwa kutangaza kazi wanazozifanya ili jamii iweze kuwaunga mkono kwa kutumia bidhaa zao

Licha ya Ndg. Mabula kuwasihi wazazi kutumia chuo cha VETA kuwapeleka watoto kupata ujuzi na kuepuka kukaa nyumbani na Watoto wasiokuwa na shughuli za kufanya lakini pia amewasihi wahitimu wazingatie maadili na kutumia vema ujuzi walioupata ili kuwainua kichumi na kusaidia Taifa kwa ujumla kwani elimu ya VETA ni ujasiriamali wa moja kwa moja.

Akiongea wakati wa hafla za mahafali hayo Kaimu Mkuu wa chuo cha VETA Kongwa Ndg. John Magulyati ameleza kuwa ili kuhakikisha hakuna mtanzania anayekosa elimu kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo wanafunzi waliokatisha masomo kutokana na  kupata ujauzito, chuo kimeanza kutoa kozi za muda mfupi kwa mabinti wanaonyesha watoto wenye umri kuanzia miezi mitatu.

Katika Risala yao wahitimu hao wameomba Serikali kuwasaidia kwa kuwawezesha vitendea kazi katika fani zao pindi wanapohitimu mafunzo yao ili iwe rahisi kwao kujiajiri na kufanya ujasiriamali.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • DC KONGWA AKAGUA UCHIMBAJI WA MADINI ENEO LA NDURUGUMI

    December 10, 2025
  • MADIWANI KONGWA WAASWA KUDUMISHA UMOJA NA USHIRIKIANO

    December 05, 2025
  • DC KONGWA ATEMBELEA MIRADI YA FECE

    December 02, 2025
  • TEKLA NGILANGWA "UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO NI UZALENDO"

    November 27, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98