• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

WAGANGA WA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA WAIBUENI WAGONGWA KWA KUWAPA RUFAA

Imewekwa: December 24th, 2025

WAGANGA WA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA WAIBUENI WAGONJWA KWA KUWAPA RUFAA

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari - Kongwa DC

Waganga wa tiba asili na tiba mbadala Wilayani Kongwa wametakiwa kuwaibua wagonjwa wanaofika katika vituo vyao vya kutolea tiba kwa kuwapa rufaa kwenda Hospitali endapo watashindwa kuwahudumia kwa utaalamu wao.

Hayo yameelezwa na Dkt Melkizedeki Kongola Mratibu wa Malaria Wilaya ya Kongwa alipomwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kongwa katika hafla ya ugawaji wa leseni za baraza la tiba asili na tiba mbadala iliyofanyika katika Kata ya Ngomai ambapo amesema kuwa utoaji wa rufaa hizo utasaidia kuokoa maisha ya wagaonjwa.

Dkt. Kongola amewataka waganga wote wajitahidi kupata leseni ili waweze kufanya kazi kihalali bila kusumbuliwa na vyombo vya dola na kupunguza malalamiko katika jamii juu ya utendaji kazi wao.

Licha ya kupongeza Baraza la tiba asili na tiba mbadala TAMESO T (Traditional and Alternative Medicine Society of Tanzania) lakini pia Dkt. Kongola amewasihi waganga hao kufanya kazi kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria za kuendesha tiba asili Nchini Tanzania.

Nae Mratibu wa Huduma za jamii Wilaya ya ongwa Bi Rehema Chitemasi akizungumza kwa niaba ya Mganga Mkuu Wilaya ya Kongwa amesema kuwa tiba asili ni mwanzo wa tiba zote na ugawaji wa leseni hizi ni kuhakikisha Wilaya ya Kongwa haina waganga wa tiba asili ambao hawafuati utaratibu.

Akisoma Risala ya mbele ya mgeni rasmi Katibu wa wagaga wa tiba asili na tiba mbadala Wilaya ya Kongwa Bw. Lukas Mlipu amesema kuwa lengo la chama cha TAMESO T ni kuwaweka waganga pamoja kutambua nafasi zao, kutoa elimu ya kuepuka ramli chonganishi, usafi maeneo ya kazi na kueleza faida za kutoa rufaa kwa wagonjwa inapobidi.

Licha ya kuipongeza Serikali kwa kuweka vituo vya tiba asili katika baadhi ya hospitali Nchini lakini pia Bw. Mlipu ameiomba Serikali kuwachukulia hatua waganga wote wasio kuwa na leseni wanaofanya kazi kinyume cha sheria na taratibu.

Sambamba na hayo kwa upande wao waganga wa tiba asili tiba mbadala wamewaomba viongozi wa Serikali kuwaonya watu wanaotumia majukwaa yao kutangaza vibaya kazi zinazofanywa na waganga wa tiba asili kwani hali hiyo inaweza kupelekea uvunjifu wa amani na jamii kutowaamini.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MIL 75 KUNUFAISHA KIKUNDI CHA VIJANA WAZALENDO KONGWA

    February 16, 2026
  • DUWASA WAPANDA MITI ENEO LA CHANZO CHA MAJI KIBAIGWA

    January 29, 2026
  • TUWAFATILIE WANAFUNZI WANAOTAKIWA KURIPOTI KIDATO CHA KWANZA

    January 29, 2026
  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77