• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

WALIMU WAKUU WAHIMIZWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO

Imewekwa: January 2nd, 2026

WALIMU WAKUU WAHIMIZWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari Kongwa DC


Walimu Wakuu wa Shule za Msingi na Waratibu Elimu Kata Wilayani Kongwa wamehimizwa kufanya tathmini ya utekelezaji wa majukumu yao mara kwa mara ili waweze kufikia malengo ya ufaulu bora na wa juu kwa matokeo ya mtihani wa Darasa la saba 2026.


Hayo yameelezwa na Katibu Tawala Wilaya ya Kongwa Bi. Sozi Ngate alipomwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka Simon Mayeka katika kikao cha Walimu Wakuu wa Shule za Msingi Kongwa cha kufanya tathmini ya matokeo ya Mwaka 2025 na kuweka mikakati imara ya ufundishaji ili kufikia lengo la ufaulu wa 100% kwa Mwaka 2026.


"ikiwa lengo letu ni kufikia 100% tukiamua tunaweza tuendelee kujipanga kuongeza ufaulu wa watoto kwa kufanya tathmini ya kazi zenu na kuongeza kasi ya uandikishaji wa wanafunzi wa awali na darasa la kwanza ili tuwe na watoto wengi wanaokwenda Sekondari" alisema Ngate.


Licha ya  Bi. Ngate kusisitiza upendo baina ya Walimu, Walimu Wakuu na Waratibu Elimu Kata lakini pia amewasihi kuendelea kusimamia Miradi ya ujenzi inayoendelea katika shule zao na kuwashirikisha wazazi katika suala la upungufu wa Madawati ili waweze kuwasaidia kwani nao ni wadau wa elimu.


Sambamba na hayo nae Afisa Elimu Awali na Msingi Wilaya ya Kongwa Mwl. Margareth Temu amesema kuwa katika Mwaka 2025 Shule za Msingi 118 zilizofanya mtihani wa darasa la saba, shule 88 zilipata ufaulu wa 100% na kufanya Wilaya kushika nafasi ya pili Kimkoa kwa kuwa na wastani wa 98.99% hili ni jambo la kijivuania japo kuwa kumekuwa na changamoto katika masomo ya Kiingereza na Hisabati.


Aidha Mwl. Temu ameongeza kuwa kwa kuwa sera yao ni kuhakikisha wanafunzi wote wanaoanza darasa la kwanza wanafika kidato cha nne hivyo ameahidi kuwarudisha Shule Wanafunzi 60 waliofeli mtihani wa darasa la saba Mwaka 2025 ili nao waweze kutimiza ndoto zao.


Katika hatua hiyo nae  Afisa Utumishi Bi. Zubeda Nunda akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa licha ya kuwapongeza kwa ufaulu mzuri 2025 lakini pia amewakumbusha walimu kujaza taarifa zao katika mfumo wa Pepmis, kuongeza ushirikiano na ofisi yake na kuacha mikopo chechefu badala yake wakope kwa malengo maalum.


Kwa upande wake Mdhibiti Mkuu Ubora wa Shule Wilaya ya Kongwa Dkt. Yohana M Chikuni amewakumbusha walimu wakuu na waratibu kuimarisha ushirikiano kwa kutoa taarifa juu ya changamoto walizonazo kuwa wakweli na wawazi kutanguliza mbele maslahi ya elimu na kuwa wasiri pale inapobidi.


Nae Afisa Maadili na Nidhamu kutoka tume ya utumishi wa walimu Wilaya ya Kongwa Ndg. Oscar Mpechi amewahimiza walimu kuvaa mavazi ya staha wanayotakiawa kuvaa watumishi wa umma na  kuacha ulevi na utoro kwani mambo hayo yanashusha hadi ya mtumishi.


Akiongea katika kikao hicho mwenyekiti wa Walimu Wakuu Wilaya ya Kongwa Mwl. Loishooki Mollel amemshukuru Afisa Elimu Awali na Msingi Wilaya kwa kuwa na mawasiliano thabiti baina yake na walimu hali inayorahisisha utekelezaji wa majukumu na kuahidi kufanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba Mwaka 2026 kutokana na mikakati imara ya ufundishaji waliyojiwekea.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • WAFANYAKAZI WILAYA YA KONGWA WAMSHUKURU MHE. RAIS SAMIA ONGEZEKO LA MISHAHARA

    January 21, 2026
  • SERIKALI YATOA MWONGOZO KWA WATUMISHI WANAOJITOLEA

    January 20, 2026
  • JWTZ KUCHANGIA MIL. 200 UJENZI SHULE YA SEKONDARI WILAYANI KONGWA

    January 14, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77