• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

Wanafunzi wapigwa Msasa Mapambano ya VVU na UKIMWI

Imewekwa: October 26th, 2023

Na Stephen Jackson, Kongwa

Wanafunzi wametakiwa kujitambua na kujitunza kiafya  kwa kuepuka vishawishi mbalimbali kama sehemu ya Mapambano dhidi ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) ili waweze kutimiza Malengo yao.

Rai hiyo imetolewa siku ya Alhamisi ya Tarehe 26 Oktoba, 2023 na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel, wakati akihutubia katika tamasha la Mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi lililofanyika Shule ya Sekondari Kibaigwa, katika Mamlaka ya mji mdogo wa Kibaigwa.

Katika hotuba yake aliwaasa wanafunzi kuzingatia masomo na kukataa ushauri usiofaa kutoka Kwa baadhi ya wazazi na walezi wenye mwamko duni wa Elimu, ambao wamekuwa  wakiwashawishi wanafunzi kuandika majawabu ya uwongo katika mitihani yao ya Taifa Ili wasiendelee na masomo kwa lengo la  kuwapeleka kufanya kazi za ndani katika Miji mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliuoandaliwa na waratuibu wa Tamasha hilo, jumla ya Wananchi 41,817 wWilayani Kongwa walipima Maambukizi ya VVU Kwa hiari, na kati yao 1,037 sawa na 2.4% walikutwa na Maambukizi huku 70% ya idadi hiyo wakiwa ni wanawake.

Kwa upande wa huduma za matibabu kwa wanaoishi na VVU, Jumla ya watu 7001 wanatumia dawa za kufubaza makali ya VVU yaani (ARV) ambapo wanawake ni 5013 na wanaume ni 1988.

Taarifa inasema, jitihada madhubuti za kupambana na kasi ya Maambukizi ya VVU hasa utoaji wa elimu zimekuwa zikifanyika Kwa kushirikiana na Wadau kutoka mashirika mbalimbali yakiwemo EGPAF, AMREF, TAYOA, NACOPHA, AFNET.

Tamasha Hilo la Mapambano dhidi ya VVU na Ukimwi liliandaliwa na Wizara ya Afya, Kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais - TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na  lilihusisha wanafunzi wa Shule kumi na mbili (12) za Wilayani Kongwa ambapo  wasanii mbalimbali akiwemo Stamina, Joh Makini na wengineo walitoa jumbe mbalimbali kupitia burudani zao.

Shule zilizoshiriki ni pamoja na Shule ya Sekondari Kibaigwa, Shule ya Wasichana Kibaigwa, Dr. Nkullo, St. Pio, Christopher, Benjamin, Ndurugumi, Mlali, Pandambili, Zoissa,  Songambele, na Hogoro

Matangazo

  • Majina ya mipaka ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. October 16, 2024
  • TANGAZO LA MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 16, 2024
  • Tangazo la nafasi za ajira za mkataba October 07, 2024
  • Tangazo la kufunguliwa kwa dirisha la utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu- Oktoba 1 2024 October 02, 2024
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYASISITIZWA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA VIONGOZI PAMOJA NA WATAALAM

    May 05, 2025
  • VIKUNDI 21 VYAKABIDHIWA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YA HALMASHAURI

    April 28, 2025
  • DC MAYEKA AKABIDHI MISAADA

    April 27, 2025
  • ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE. WASIRA WILAYANI KONGWA.

    April 25, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.