• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

WATANO WASIMAMISHWA KAZI MAMLAKA YA MJI MDOGO KIBAIGWA

Imewekwa: December 29th, 2025

WATANO WASIMAMISHWA KAZI MAMLAKA YA MJI MDOGO KIBAIGWA 

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari kongwa DC

Viongozi watano wa Mamlaka ya Mji mdogo Kibaigwa Wilayani Kongwa wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za kuuza maeneo ya ardhi yaliyotengwa kwa ajili ya malisho katika eneo la Ndurugumi na kusababisha migogoro baina ya wakulima na wafugaji.

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka Simon Mayeka amewasimamisha kazi viongozi hao alipofika katika Mamlaka ya Mji mdogo Kibaigwa kusuruhisha mgogoro wa ardhi uliopo baina ya wakulima na wafugaji ambapo wakulima walivamia eneo lililotengwa kwa ajili ya malisho na wafugaji kuweka makazi katika hilo.

“nataka kujua hekari 600 za kilimo ziko wapi, hekari 2000 za malisho ziko wapi na kwanini eneo la malisho kuna makazi nae neo la kilimo kuna visima vyenye mkataba wa kutumia kwa mwaka mmoja mmoja” alisema Mayeka.

Akiongea katika mkutano huo Mhe. Mayeka amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa kushirikiana na Idara ya Ardhi kurudi kuja kupima upya eneo la wafuaji na wakulima kuweka vitalu ili wafanye shughuli zao kwa utaratibu.

Aidha mhe. Mayeka ameelekeza kuwa anatoa muda wa siku 90 kwa wafugaji wote walioweka makazi katika eneo la malisho wawe wameondoka katika maeneo hayo.

Akiongea katika mkutano huo Afisa Mipango Miji Wilaya ya Kongwa Bw. Meshack Mlaponi ameeleza kuwa mgogoro huo wa kuvamia maeneo ya kilimo na malisho upo tangu mwaka 2007 kibaigwa ilipopewa hadhi ya kuwa Mamlaka ya Mji mdogo na Kijiji cha Ndurugumi kuwa sehemu ya kibaigwa ambapo baadhi ya viongozi wanatajwa kushiriki kwa kutoa nyaraka za kufoji kuwapatia Wananchi maeneo hayo.

Hata hivyo nae diwani wa Kata ya Kibaigwa Mhe. Daudi Kweka ameweka wazi viongozi kutokuwa na usimamizi mzuri wa mipaka ya ardhi iliyowekwa hali iliyopepelekea migogoro hiyo hivyo ameahidi kujipanga upya kurekebisha makosa yote yaliyofanyika hapo awali.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kitongoji cha Sabasaba anaeleza kuwa viongozi waliruhusu wafugaji kulisha mifugo na sio kuweka makazi lakini baada ya kutokea mafuriko waliwaruhusu kuhamia katika eneo la malisho na kuishi muda lakini baada ya hapo baadhi yao hawakurudi.

Kwa upande wao wananchi wa mamlaka ya mji mdogo Kibaigwa wakiongea mbele ya Mkuu wa Wilya ya Kongwa katika mkutano huo wameiomba Serikali kuwahamisha mara kwa mara viongozi wanaofanya kazi na Wananchi kwani kuna wakati viongozi wanaishi muda mrefu katika eneo moja wanajenga mazoea na wananchi hadi wanasahau kutimiza wajibu wao.

Viongozi hao waliosimamishwa kazi ni Mtendaji wa Mamlaka (TEO) Bi. Foska Mgovano, Mtendaji Kata Kibaigwa Bw. Venant Tibandolage, Mwenyekiti wa Mamlaka Ndg. Nicolus Iyanex, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Karume Ndg. Stanley Myoka na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Sabasaba Ndg. Kedmon Mbaluka ambapo wamesimamishwa kazi kwa muda wa siku 90 baada ya tume iliyoundwa kukamilisha uchunguzi wake.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MIL 75 KUNUFAISHA KIKUNDI CHA VIJANA WAZALENDO KONGWA

    February 16, 2026
  • DUWASA WAPANDA MITI ENEO LA CHANZO CHA MAJI KIBAIGWA

    January 29, 2026
  • TUWAFATILIE WANAFUNZI WANAOTAKIWA KURIPOTI KIDATO CHA KWANZA

    January 29, 2026
  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77