• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

Watumishi Kongwa waaswa kudumisha Nidhamu na maadili ya kazi

Imewekwa: October 23rd, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Mhe. White Zuberi Mwanzalila amewataka Watumishi kufanya kazi kwa Uaminifu, Nidhamu na ushirikiano mkubwa Ili Halmashauri izidi kupiga hatua katika nyanja za mbalimbali za Maendeleo.

Mhe. Mwanzalila alisema hayo wakati akifunga kikao Cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kilichofanyika Oktoba 23, 2023 katika ukumbi wa Elimu uliopo Halmashauri.

Aliongeza kuwa kupitia ushirikiano wa Watumishi, Wilaya Imekuwa ikifanya vizuri katika usimamizi na utekelezaji wa Miradi mbalimbali.

Aidha kupitia Fedha TZS. 544,225,625 zilizotolewa na Serikali kupitia mradi wa SEQUIP Kwa mwaka 2023, Wilaya ya Kongwa imeweza kujenga Miundombinu ya Shule Mpya ya Sekondari katika Kijiji Cha  Manungu ambapo kwa Mujibu wa Taarifa ya Ukaguzi wa Miradi iliyowasilishwa kwenye kikao hicho, jumla ya vyumba nane (8) vya madarasa vimejengwa, Majengo ya Utawala na TEHAMA yamekamilika huku Majengo ya Maktaba, Matundu ya vyoo,  vyumba vitatu (3) vya Maabara navyo vikiwa katika hatua ya umaliziaji.

Akiwasilisha taarifa ya Mapato na Matumizi, Mkuu wa Kitengo Cha Fedha CPA. Deodatus Mutalemwa alisema, kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/2024 iliyoishia Septemba 30, Halmashauri ilipokea jumla ya shilingi 9,828,349,059.72 kati ya makisio ya shilingi 11,038,201,750 ambayo ni sawa na asilimia 89% ya makisio ya robo ya kwanza.

Mutalemwa alifafanua kuwa kati ya fedha hizo, jumla ya shilingi 1,226,180,588.63 sawa na 102.9%ya lengo la shilingi 1,192,149,250 kwa robo ya kwanza zilitokana na vyanzo vya ndani vya Halmashauri na shilingi 6,755,540,650.00 sawa na 108.2% ya lengo la shilingi 6,245,871,000.0 zikiwa ni ruzuku toka Serikali kuu kwa ajili ya kulipia Mishahara. Aliongeza kuwa kwa upande wa matumizi ya kawaida (OC) Halmashauri ilipokea kiasi cha fedha shilingi 966,364,107.88 ambayo ni sawa na 305.1% ya makisio yenye kiasi cha shilingi 316,692,250 kwa robo,  jambo ambalo  kamati ya Fedha, uongozi na Mipango ilipongeza.

Kikao hicho pia kilipokea taarifa mbalimbali kutoka kwenye Divisheni na vitengo vya Halmashauri ambavyo ni Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Usimamizi wa Ununuzi, TEHAMA na Takwimu, Huduma za Sheria, Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, na Taarifa za Mikutano ya Mabaraza ya Mamlaka za Miji Midogo ya Kongwa na Kibaigwa.


Matangazo

  • Majina ya mipaka ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. October 16, 2024
  • TANGAZO LA MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 16, 2024
  • Tangazo la nafasi za ajira za mkataba October 07, 2024
  • Tangazo la kufunguliwa kwa dirisha la utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu- Oktoba 1 2024 October 02, 2024
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYASISITIZWA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA VIONGOZI PAMOJA NA WATAALAM

    May 05, 2025
  • VIKUNDI 21 VYAKABIDHIWA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YA HALMASHAURI

    April 28, 2025
  • DC MAYEKA AKABIDHI MISAADA

    April 27, 2025
  • ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE. WASIRA WILAYANI KONGWA.

    April 25, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.