Imewekwa: December 31st, 2021
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Imekabidhi vyumba 130 vya Madarasa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel leo Tarehe 31 Disemba 2021.
Akiwasi...
Imewekwa: December 22nd, 2021
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Baraza la Biashara katika Halmashauri ya wilaya ya Kongwa limeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji wake wa sasa unaozingatia haki za msingi za Wafanyab...
Imewekwa: December 16th, 2021
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Mkuu wa Idara ya Maedeleo ya Jamii Wilaya ya Kongwa Bibi Paskalina Duwe amewataka wanufaika wa Mikopo ya vikundi inayotolewa na Halmashari kupitia Idara hiyo, kuzitumia ...