Imewekwa: August 30th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Remidius Mwema Emmanuel ameendesha Kikao maalum na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yanayofanya kazi ndani ya Wilaya ya Kongwa chenye lengo kuu la kuweza kufahamiana ...
Imewekwa: August 29th, 2021
Timu ya wanamichezo watumishi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imefanya ziara ya michezo ya kirafiki Wilayani Manyoni, Mkoani Singida na kurejea salama.
Ziara hii imeanza tarehe 28 Agosti na kuka...
Imewekwa: August 22nd, 2021
Na Stephen Jackson, Kongwa
Kamati ya siasa mkoa wa Dodoma imepongeza hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Miradi ya maendeleo wilayani Kongwa.
Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa k...