Imewekwa: July 12th, 2021
Na Stephen Jackson - Kongwa
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel, Ametembelea Gereza la Wilaya ya Kongwa siku ya Jumatatu Julai 12, 2021 na kukagua Miradi inayotekelezwa na Gereza ...
Imewekwa: July 8th, 2021
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kutatua kero zinazowakabili kwa muda mrefu Wakazi wa eneo la Kibaigwa wilaya ya Kongwa.
Miongoni mwa Kero hizo ni Tatizo la umeme ...
Imewekwa: July 1st, 2021
Zoezi la kupokea watumishi wapya limeanza leo tarehe 1/7/2021 Ikiwa ni siku ya kwanza ya mwaka mpya wa fedha 2021/2022.
Jumla ya watumishi kumi na saba (17) wameripoti sawa na 16.8%. ya watumishi w...