Imewekwa: April 4th, 2018
Barabara ya NMB - Mlanga imeanza kujengwa kwa kiwango cha lami (double surface dressing) kuanzia NMB kuunganisha kipande cha barabara ya Kilimo-Kwa DAS yenye urefu wa Km 0.88.
Barabara hii in...
Imewekwa: March 21st, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imepata neema ya kuboresha taarifa za chanjo kwa watoto kupitia Programu ya Uendelezaji wa Chanjo na Kinga (IVD Program) inayotekelzwa na Wizara ya Afya ikishirikiana n...
Imewekwa: February 5th, 2018
Halmashauri ya Wilaya Kongwa yatunukiwa cheti cha wateja bora kwa mwaka 2017 na Benki ya NMB Tawi la Kongwa. Cheti hicho kimekabidhiwa siku ya tarehe 5 Februari, 2018 katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtenda...