Imewekwa: January 6th, 2018
Jumla ya miche ya miti 300,000 yazalishwa tayari kwa ajili ya kupandwa katika msimu huu wa mvua Wilayani Kongwa. Miche hiyo ya miti imeoteshwa katika vitalu vilivyopo maeneo tofauti-tofauti, ili kuwez...
Imewekwa: January 2nd, 2018
"Jumla ya ng'ombe wa asili 121,907 wa wananchi wamepigwa chapa ambayo ni sawa na asilimia 105.2% ya lengo". Haya ameeleza Dkt Omary Nkullo (Afisa Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Kongwa) waka...
Imewekwa: December 20th, 2017
Wilaya ya Kongwa yafanya Mkutano wa Pamoja wa Baraza la Biashara la Wilaya na Baraza la Madiwani Wilayani Kongwa. Katika Mkutano huu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Deogratius Ndejembi (Mwenyekiti ...