Imewekwa: August 9th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa leo imezindua Baraza lake jipya la Wafanyakazi baada ya lile la awali kuisha muda wake.
Uzinduzi huu ulifanyika baada ya uchaguzi kufanyika wa kuchagua wajumbe...
Imewekwa: August 7th, 2017
Shule ya Sekondari Laikala Kujengewa Madarasa 4 na Matundu 6 ya Vyoo. Kwa mujibu wa Kaimu Afisa Elimu, jumla ya shilingi miloni 86.6 zimepokelewa kupitia mradi wa Utekelezaji wa Matokeo (P4R), ambapo ...
Imewekwa: August 4th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa iko katika mchakato wa kuihamisha shule ya sekondari Kongwa. Mchakato huu unafanyika kutokana na hitaji la kubadilisha eneo iliyoka shule kwa sasa na kuwa sehemunya kih...