Imewekwa: January 23rd, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuzindua Kampeni ya Kukijanisha Mlima Ibwaga na Kongwa yote.
Uzinduzi wa Kampeni hii unatarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi ya tarehe 25 Januari, 2018 katika K...
Imewekwa: January 6th, 2018
Jumla ya miche ya miti 300,000 yazalishwa tayari kwa ajili ya kupandwa katika msimu huu wa mvua Wilayani Kongwa. Miche hiyo ya miti imeoteshwa katika vitalu vilivyopo maeneo tofauti-tofauti, ili kuwez...
Imewekwa: January 2nd, 2018
"Jumla ya ng'ombe wa asili 121,907 wa wananchi wamepigwa chapa ambayo ni sawa na asilimia 105.2% ya lengo". Haya ameeleza Dkt Omary Nkullo (Afisa Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Kongwa) waka...