Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kiuongozi imeundwa kama ifuatavyo:
1. Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye ndiye kiongozi Mkuu wa Baraza la Madiwani
2.Mkurugenzi Mtendaji
3. Idara na Vitengo
Kwa ufafanuzi zaidi tazama mchoro ufuatao.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.