• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

Video za Shughuli za Maendeleo

  • Serikali yashauriwa njia mbadala kuwasaidia Watu wenye ulemavu.

    May 6th, 2023
  • ''KONGWA MMEUPIGA MWINGI''

    August 30th, 2022

    TATHMINI YA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KUHUSU MIRADI - KONGWA

  • Mikopo ya 10% ukombozi kwa wajasiriamali

    August 11th, 2022

    Maafisa Watendaji wa Vijiji na kata wametakiwa kutoa ushirikiano Kwa vikundi na wajasiriamali wanaonufaika na mikopo ya 10% kutoka Halmashauri   ili kuwajengea uwezo wa kurejesha mikopo hiyo.

    Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kongwa Bibi Paskalina Duwe Siku ya Jumatano Agosti 10, 2022 wakati alipotelea shamba la Mkulima Sendea Johnas Mnyanduli ambaye anaendesha mradi wa kilimo Cha umwagiliaji kwa mkopo wa Shilingi 6,700,000/=.

    Akizungumza shambani hapo mjasiriamali Mnyanduli, alitaja Changamoto zinazokabiri mradi wake, ikiwa ni pamoja na kupanda Kwa bei za Mafuta.

    Naye Afisa ugani wa kata hiyo Ndugu Philemon Kibona ameitaka Serikali kuendelea kuwezesha utatuzi wa  Changamoto mbalimbali ikiwemo za usafiri ili kuwawezesha maafisa ugani kuwafikia Wakulima.

    Kufuatia hatua hiyo Viongozi wa Kijiji na kata ya Matongoro, wameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kama sehemu ya kufanikisha jitihada za Serikali.

    Ziara hiyo  ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo kupitia mikopo ya asilimia kumi ilihusisha timu ya wataalamu wa Maendeleo ya jamii ilivyokuwa ikiwa ikiwajengea uwezo vikundi kujisajili kwenye mfumo mpya wa kusajili vikundi unaojulikana kama TPLMIS.


  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • Next →

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za kazi lililohuishwa April 19, 2023
  • Fomu ya Maelekezo ya kujiunga na shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaigwa. May 18, 2022
  • Tangazo la Ajira za kudumu nafasi 34 katika fani ya Afisa Mtendaji Daraja la III May 26, 2022
  • Kuitwa kazini Ajira za muda, Sensa ya watu na Makazi 2022. July 27, 2022
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • Washiriki UMITASHITA watakiwa kudumisha Nidhamu

    May 24, 2023
  • MCHAKATO UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA MICHEZO MBANDE WAANZA

    May 16, 2023
  • Ndugai awataka wananchi kuchangamkia fursa za Mafunzo VETA

    May 14, 2023
  • Serikali yashauriwa kubuni njia mbadala ya kuwasaidia Watu wenye ulemavu.

    May 04, 2023
  • Tazama Yote

Video

Serikali yashauriwa njia mbadala kuwasaidia Watu wenye ulemavu.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)
  • Bunge la Tanzania

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.