Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia waombaji wote waliotuma maombi kujaza nafasi katika Soko la Mazao la Kibaigwa kuwa usahili unatarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba, 2020.
Kwa maelezo zaidi Pakua Nyaraka hii "Tangazo Kuitwa Kwenye Usahili.pdf"
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 737 798 222
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2020 Kongwa District Council . All rights reserved.